Kizuri kula na mwenzio!!!!!.

Kizuri kula na mwenzio!!!!!.

Habari zenu wakuu, natarajia kuwa dar october5 for two weeks. mi si mwenyeji huko yan hata ikitokea natupwa posta jua napotea kabisa!!!!!

Natafuta aliye tayari kunipa company yani kunishika mkono,mi natokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa!

Sifa,
1. awe mwanaume wa kuanzia miaka 35 - 45
2. awe muelewa asije niona mshamba sana.
3. awe na digrii kuanzia
moja na kuendelea.
4. asiwe mpenda uzungu sana.

Wakuu naomba msinichambe!!!!! mwenyeji wangu heaven on earth kwa heshima ya kunipokea humu JF naomba unisaidie kufanya usaili then kwa atakae qualify naomba um Pm kwangu.

Jaman si mnajua zimwi likujualo halikuli likakwisha!

Naomba kuwasilisha!

Mm..wanawake hatuwez kukupokea??anyway karibu mjini it would have been a pleasure kupokea mtu but am discqualified
 
Habari zenu wakuu, natarajia kuwa dar october5 for two weeks. mi si mwenyeji huko yan hata ikitokea natupwa posta jua napotea kabisa!!!!!

Natafuta aliye tayari kunipa company yani kunishika mkono,mi natokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa!

Sifa,
1. awe mwanaume wa kuanzia miaka 35 - 45
2. awe muelewa asije niona mshamba sana.
3. awe na digrii kuanzia
moja na kuendelea.
4. asiwe mpenda uzungu sana.

Wakuu naomba msinichambe!!!!! mwenyeji wangu heaven on earth kwa heshima ya kunipokea humu JF naomba unisaidie kufanya usaili then kwa atakae qualify naomba um Pm kwangu.

Jaman si mnajua zimwi likujualo halikuli likakwisha!

Naomba kuwasilisha!
sidhani kama utapata kwa sababu ya ubaguzi wa elimu
 
Mi sina miaka hiyo nina 31 but naomba niwe kamati ya maandalizi along side Heaven on Earth.
Or kamati ya emergence.
 
du! hi sasa kali, mwenyeji tu.... vigezo lukuki.... ungekuwa unatafuta mume sijui hivyo vigezo ingekuwaje lo!, lakini nimesikitishwa na wanaokuvurumushia matusi na maneno machafu, japo sijapenda pia ubaguzi wako... yawezekana ndo kimewakwaza watu.... anyway waliopo dar mpokeeni mgeni uyo.... maana naamini saa nyingine JF ni kama online family hivi... one love
 
hope ulifanikiwa kushikwa mkono
 
Tatizo wengi tuliomo LC utani umezidi na vigezo hatuna, tujaribu kuwa makini.
 
Back
Top Bottom