tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,308
Habari zenu wakuu, natarajia kuwa dar october5 for two weeks. mi si mwenyeji huko yan hata ikitokea natupwa posta jua napotea kabisa!!!!!
Natafuta aliye tayari kunipa company yani kunishika mkono,mi natokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa!
Sifa,
1. awe mwanaume wa kuanzia miaka 35 - 45
2. awe muelewa asije niona mshamba sana.
3. awe na digrii kuanzia
moja na kuendelea.
4. asiwe mpenda uzungu sana.
Wakuu naomba msinichambe!!!!! mwenyeji wangu heaven on earth kwa heshima ya kunipokea humu JF naomba unisaidie kufanya usaili then kwa atakae qualify naomba um Pm kwangu.
Jaman si mnajua zimwi likujualo halikuli likakwisha!
Naomba kuwasilisha!