Kizuri wa Tundu Lissu hana siri kwenye mambo ya hovyo

Kizuri wa Tundu Lissu hana siri kwenye mambo ya hovyo

Mbowe alienda Jana kwenda kumwambia lissu ,!!zile pesa nilizopokea Kwa Abdul inatakiwa kuzilipa Kwa kukaa kimya !!Sasa lissu alikataa Ndio Samia akiita chawa wake waongee na lissu KAMANDA lissu amewajibu afe beki afe kipa no reform No election ipo pale pale.
 
TL ni muwazi hana moja kwenye mbili, hana porojo.
 
Akiachiwa tu,atamwaga kila kitu hadharani. Jamaa hana koromeo. Kwa hiyo tulieni tutajua kila kitu kupitia Lissu mwenyewe.

NO REFORM NO ELECTION
Mficha uchafu basi na yeye ni sehemu ya uchafu huo.

Lissu hawezi kukubali mabo ya kona kona mambo yote yafanyike HADHARANI.
 
Sure gentleman,
ni mropokaji mwenye mdomo sana huyo kibaka na tapeli wa siasa nchini 🐒
The guy is compromised, tokea makanikia,akaongezea na Mr Amsterdam, kwa sasa Maria Sarungi ndio mwenye kauli ya mwisho.
 
Sure gentleman,
ni mropokaji mwenye mdomo sana huyo kibaka na tapeli wa siasa nchini 🐒
20250417_093236.jpg

Matapeli wako huku wametajwa.
 
Mbowe alienda Jana kwenda kumwambia lissu ,!!zile pesa nilizopokea Kwa Abdul inatakiwa kuzilipa Kwa kukaa kimya !!Sasa lissu alikataa Ndio Samia akiita chawa wake waongee na lissu KAMANDA lissu amewajibu afe beki afe kipa no reform No election ipo pale pale.
Hivi ukimya wa mbowe una maana gani?
 
Akiachiwa tu,atamwaga kila kitu hadharani. Jamaa hana koromeo. Kwa hiyo tulieni tutajua kila kitu kupitia Lissu mwenyewe.

NO REFORM NO ELECTION
Sio kwamba hana siri bali mambo ya gizani ya hovyo hayapendi na sio sehemu yake. Kiongozi bora ni huyu sasa hasimamii yeye tu bali ukweli uwazi uwafikie wale anaowaongoza pia
 
Back
Top Bottom