Pre GE2025 KKKT Arusha wampongeza Rais Samia kwa kuruhusu Maandamano ya Amani ya Chadema jijini DSM, waomba aendelee kusikiliza Sauti ya Mungu

Pre GE2025 KKKT Arusha wampongeza Rais Samia kwa kuruhusu Maandamano ya Amani ya Chadema jijini DSM, waomba aendelee kusikiliza Sauti ya Mungu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati anayestaafu Dr Tavsangwa amempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa kuyaruhusu Maandamano ya Chadema yaliyofanyika jijini DSM.

Askofu amesema yawezekana Sauti za kukataa Maandamano zilkuwa nyingi kutoka Bungeni, Mahakama, Vyama vya Siasa, Wananchi nk Lakini Rais Samia akaamua kusimama na Sauti ya Mungu na kuruhusu Maandamano ya Amani.

Hayo yamesemwa mbele ya Makamu wa Rais Dr Mpango aliyekuwa Mgeni rasmi kwenye Ibada ya kumsimika Askofu mpya Dr Mollel.

Source Upendo TV
 
Back
Top Bottom