Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 384
- 884
Anglikana ndio kiboko kwa migogoro. Subiri KKKT wakitulia utasikia Anglikana wameanza tena.
Mungu atusaidie sana Wakristo, tunatia aibu kwa migogoro makanisani.
Aisee good observation ,hao huwa ni wajuaji na wabinafsiMakanisa yoyote yenye wanyakusa viongozi hayaishi migogoro.
Na Moravian yaani ni kawa walokole.Kkkt wanazinguana sana
EAGT Wana mgogoro na TAG.. EAGT walipora Mali za T.A.G baada ya Kulola kujitoa na kuunda EAGT.Hivi haya ya EAGT ndio anglican??
Maana kuna kipindi walimuombaa had JPM aingilie kati
Hivi mara ya kwanza dayosisi si ilikuwa kandete " itete" kabla ya kuhamia tukuyu mjini au nipo vibaya katika kumbukumbu zangu. ?Wapendwa sana wana KKKT Dayosisi ya Konde, poleni na mgogoro wa kuhamishwa makao makuu toka Tukuyu kwenda Mbeya Mjini.
Askofu mwaikali katika ngazi za juu amekuwa msaliti tangu akiwa msaidizi wa askofu hadi akahamia iringa hadi mlipomfuata akawe askofu wa Konde.
Nina maswali ambayo mnatakiwa mjihoji.
Kwanini akiwa msaidizi alimsaliti Ask Mwakyolile?
Kwanini hakupangwa kwenye huduma ndani ya dayosisi baada yakuondoka usaidizi?
Alikokuwa huko iringa alipata baraka za dayosisi ya konde kwenda kutumika nje ya dayosisi?
Mlijua maisha ya huko alikokuwa nje ya dayosisi na mlijidhirisha hadi mkatuma wajumbe wa kumuomba arudi?
Tunajua jiografia ya makao makuu ya Dayosisi ya Konde ipo nje kidogo na ngumu.
Njia aliyoitumia Ask Mwakagali ni uasi wa hali ya juu.
Ameligawa kanisa na kuvunja katiba ya dayosisi.
Kuepusha kukua kwa mgogoro.
1. Halmashauri kuu ya dayosisi ipige kura yakutokuwa na imani.
2. Waamini mtafute mwanasheria afunguliwe mashitaka kwa kuvunja katiba.
Ikiwa mnataka kuhamisha makao makuu muanze kwa kuzingatia jiografia na umuhimu wake bila kuathili kanisa.
Ask Mwakagali amefanya uhuni na uhaini. Hafai kuendelea kukalia kiti.
Anglikana ndo funga Kaz. Ukichanganya na ufukara Ni balaaAnglikana ndio kiboko kwa migogoro. Subiri KKKT wakitulia utasikia Anglikana wameanza tena.
Mungu atusaidie sana Wakristo, tunatia aibu kwa migogoro makanisani.
Nilijua pale kandete kumbe yalikuwa manow?Huu mgogoro ni moto,maana walihamisha makao kutoka Manow kwenda Tukuyu,wakaona haitoshi wamehamishia Mbeya!
Hapana mkuu. EAGT ni wengine na Anglican ni wengine.Hivi haya ya EAGT ndio anglican??
Maana kuna kipindi walimuombaa had JPM aingilie kati
Anglikana Wana migogoro mpaka aibu. Kuna kipindi Diocese of Ruvuma kule ilikua kazi haswaHapana mkuu. EAGT ni wengine na Anglican ni wengine.
Kama walivyojazana Maendeleo bank, wanachokifanya hapo bank hata sikielewagiMakanisa yoyote yenye wanyakusa viongozi hayaishi migogoro.
πππKama walivyojazana Maendeleo bank, wanachokifanya hapo bank hata sikielewagi
Hivi Malasusa ni wa Anglikana ama KKKT?Anglikana Wana migogoro mpaka aibu. Kuna kipindi Diocese of Ruvuma kule ilikua kazi haswa
Mkuu umenena[emoji106] Matatizo mengi ya KKKT katika kuwapata viongozi hasa maaskofu yanatokana na utaratibu huo wa kupiga kura. Kunakuwa na kampeni hasi, wachungaji wanapewa ahadi chungu nzima. Mwisho wa siku unaona chaguzi hizi za maaskofu zina "tension" na vurugu kubwa.Nilishangaa Mwaikali kua askofu maana alikua anafundisha chuo cha kikatoliki cha Ruaha (RUCO) ghafla kawa askofu. Nadhani utaratibu wenu wa kupiga kura ni rahisi sana kuwa bribe wapiga kura wakakuchagua
Kweli kabisa kam alile la askofu mwamakula hadi wakajitenga.. hilo kabia sijui injili iliwasilishwa vipi kwao?!Makanisa yoyote yenye wanyakusa viongozi hayaishi migogoro.