Migogoro ipo kila dini,ila njia zakutatua na uwazi tunazidiana.
Usiri wakutatua RC wanaongoza.
Uvujaji wa Mali RC wanaongoza ila hutasikia kama wengine
Acha kujifariji.
Tatizo la kanisa lenu ni ulaji
Wachungaji wana familia zao tena kubwa wanacholipwa hakiendani na gharama za uendeshaji wa familia zao
Lazima mzinguane tu kugombania ulaji!!
Hata kama mna demokrasia lakini hamuishi migogoro sidhani Mungu yuko kati yenu kama angekwepo mngesikilizana na kuvumiliana
kanisa lenu halina nidhamu ya utii kwa mamlaka za kanisa askofu anaweza lambwa kibao hata na muumini au mwinjilisti.
Kkkt mna mali kibao mashamba misitu,mahospitali,mashule,vyuo n.k
Lakini hamna mpango kabambe wa kuzitransform hizo mali zikasaidia kuendesha maishs ya wachungaji wenu.
Kanisa katoliki kuna mamlaka za kanisa,jumuiya za waumini,halmshauri za walei,mashirika ya mapadre na masista kila moja nina majukumu yake na wanafanya kazi kwa kushirikiana
Migogoro inaweza kuwepo au kutoelewana ila msingi wa kanisa ni uinjilishaji,kuishi kwa upe do na kuvimiliana kitu wewe unaita USIRI.
msingi wa uanzishaji wa kanisa la kkkt ni UASI na KUKENGEUKA kwa padre martin luther unategemea kanisa litakuwaje[emoji2]
Jitafakari