KKKT Konde yazidi kumuandama Askofu Mwaikali. Yaanzisha vita mpya kudai maeneo

Askofu mkuu ni kutoka kanda inayoamini mali kukuko imani.

Vita haiishi kesho hii
Muundo wa kkkt kila dayosisi inajitegemea askofu shoo hawez ingilia mambo ya ndani ya dayosis yeyote ile hana hayo mamlaka isipokua anapotoka ya kaskazini
 
Mungu alituagiza wanyakyusa kueneza dini Tanzania lakini sasa tumeanza Mambo ya kichaga aisee
Mliagizwa kueneza dini ipi?Ila mko sawa maana Neno la Mungu liliagiza watu wote waaminio walieneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…