Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Yaani imekuwa kama keroo sasaa mnafanya wengine tusiende makanisan
Yaan kuna viongozi kila ukisikia ibada mahubiri yao 50 perc wanaanza kukandia wach wa mafuta sijui mkaa sijui majivu ooh mtanyeshwa, Kwa nini msichukue mda kufundisha neno la Mungu waelewe wapone
Mbaya. Mnalalamika tunawatarajisha wao wanajenga magari majumba mnataka tuanze kukaguana mna nini kwani wao hawana nafsi ama. Hao mnaosikia wanatoka kkkt saa tano kwenda kwa kina mwamposa ama kuhan musa ama kiboko ya wachawi na wengineo wamepona huko
Wanaa amini hayo hayo mafuta na maji na mkaa na majivu mnayosema na wamepona, watu hawaangalii makanisa ya baba na mama tena. Mi nisingependa kuona mnaongelea hao mahubiri yenu yajikite kuelimisha watu jinsi gan ya kupona kiroho kufanikiwa ukiona kakimbia ujue hapo ajafika anapotaka
So tupunguze haya makelel ya mafuta maji majivu ibadan, Nimemsikia jana kiongozi mmoja anahubiri 30 mns anatoa mipasho ya mafuta na maji kha Anaenda mbali kama huna roho mtakatifu unakimbilia maji mafuta huponi hahahaaa
Ndugu mch najua yumo humu wale wanaopona kule kwa mwamposa ama kuhani musa ama makanisa mengine ndugu wengine waislam wa ambagala chamazi. Mungu akishusha uponyaji aangali una roho mt. Dini wala kabila. Upendo wake hauna kifichoo
Msidanganye watu kupona lazima uwe na roho mt.....
Ushauri wangu
Nimesikia mnalalamika waumini wanakimbiammakanisa yao ya wazazi wao. Sikuhizi hakuna hilo ukiona one yr unasali kanisani huongezeki we upo tu kama msukule hamaaa..Kanisa alitupeleki mbinguni
Mema ya nchi n hapahapa dunia mambo ya kuambiana ati hata ukifa masikini unafika mbingun huku nyie n matajiri wa majumba ya kupangisha mashule hamna hioo
Watu wameamka wametaka mabadiliko mkubaliane nayo tu, Nilisema hapa mfano mmoja tu washarika tunachangishana mashule yetu ya kkkt siku wanaanza ujenzi tunajitoleaa
Shule inamalizikaa, mnatutajia ada mil 3.2 wangapi wa kulipa hizo pesa makanisa yetu kama sio wachache wenye nguvu na watoto wenu. So washarika wanaona kumbe haya mambo sio yetu me.A ya nchi mle nyie sie tupambane na kayumba.
Majuzi nilikuwa na .Xh mmoja mwandamizi wa mambo ya elimh nilimchamba sana sasa kama.Mnasema ati walimu wazuri wanalipwa pesa nying hawa masikini kwann msitengeneze shule zao za bei ya kawaida wa enjoy sadaka zao?
Kama mlijua hili mngetangaza ili hio kichango itolewe na matajjri wanaopeleka shule watoto wao humo. Like wise kirohooo nako waumini wameshtuka wanataka kufika mapema kama nyie.
Amen