KKKT mbona roman catholic hawaangaiki na hao wa mafuta mahubiri yenu kila siku vs mafuta si nanyie muanze uza mafuta?

Tunaanzisha shule kwa michango ya waumini wote, kisha unaweka ada za kitajiri!!
Hili ni pigo litakalo sambaratisha nyumba za ibada.
 
Hawaangaiki na hao wa mafuta, kwasabab wao wapo bize ushoga umekubalika kule roma...
 
Wanaweweseka kisa waumini wanapeleka sadaka kwa mitume na manabii.Hicho ndicho chanzo cha makasiriko ya wachungaji na mapadri.
 
Roman Catholic NI Dini Sio Imani
Vita vipi Kwenye Imani Sio Dini
Ulishawahi kusikia Roman ikihubiri watu kwenda Mbinguni? Au Wokovu?
Basi kama hujawahi sikia Funguka akili basi
 
Hii kanisa mpaka sasa linabariki mashoga siyo kwamba limeyumba tu bali limeanguka kabisa.
La hatareee hadi pope anabariki ushogaa aisee
 
wauza mafuta wanawazidi ujanja , kwahiyo milio ni kawaida
Yaan kuna mmoja huyo kila akisimama lazimaa alaani mnaibiwa mtakuwa masikini mbona uko hawawi matajiri
 
Tunaanzisha shule kwa michango ya waumini wote, kisha unaweka ada za kitajiri!!
Hili ni pigo litakalo sambaratisha nyumba za ibada.
LAANA KUBWAAA SANA HII KAKAAA PALE KMR TULIJITOLEAAA ACHA KUJA KUSIKIA ADA WATOTO WA MATAJIRI WA KKKT NDIO WANASOMA PALE MMH
 
Wanaweweseka kisa waumini wanapeleka sadaka kwa mitume na manabii.Hicho ndicho chanzo cha makasiriko ya wachungaji na mapadri.
Mapatoooi yamepunguuua sheehe kelelee lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…