The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Alichokifanya Makonda hapo kanisa la KKKT ni utovu mkubwa sana wa nidhamu. ndo maana watu wote walikuwa wanamshangaa tu akiendelea kubwabwaja utopolo.
Huwezi kupewa microphone 🎤 kanisani halafu uanze kuwasema vibaya maaskofu wanaokosoa serikali na kudhinda mtandaoni.
Kanisa na maaskofu wana wajibu wao kiroho lakini kama raia kutoa maoni yao kwa nchi kama wazalendo wengine. Makonda hana mamlaka ya kuwaelekeza nini cha kufanya wana miongozo yao.
Tunamjua.Bangonza . kitima Gwajima na wengine ni wakosoaji wakubwa sana wa serikali.
Kwa kuwa KKKT wamekubali kukubatia Nyoka siku moja atawatoa uhai . Nyoka hanaga urafiki na mtu. TEC waliona mbali sana.