KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

KKKT mmekubali kukumbatia Nyoka, acha awang'ate, Shetani hana rafiki

Tatizo linaanzia KKKT ni kanisa la wachaga🥹🥹wachaga wepesi sana kununulika wanapoona Kuna sehemu ya Hela na itakuwa Konda Boy alitoa sadaka ya pesa ndefu si ni mbunge wao wa huko Arusha
Semeni yote lakini mtu anayeitwa makonda ana akili ndogo sana . Vile tupo Tanzania anaweza kuja kuwa hata raisi lakini kwa wenzetu asingreeza kuwa hata mtendaji wa Kijiji. Gap la shule lipo dhahir kabisa
 
Alichokifanya Makonda hapo kanisa la KKKT ni utovu mkubwa sana wa nidhamu. ndo maana watu wote walikuwa wanamshangaa tu akiendelea kubwabwaja utopolo.

Huwezi kupewa microphone 🎤 kanisani halafu uanze kuwasema vibaya maaskofu wanaokosoa serikali na kudhinda mtandaoni.

Kanisa na maaskofu wana wajibu wao kiroho lakini kama raia kutoa maoni yao kwa nchi kama wazalendo wengine. Makonda hana mamlaka ya kuwaelekeza nini cha kufanya wana miongozo yao.

Tunamjua.Bangonza . kitima Gwajima na wengine ni wakosoaji wakubwa sana wa serikali.

Kwa kuwa KKKT wamekubali kukubatia Nyoka siku moja atawatoa uhai . Nyoka hanaga urafiki na mtu. TEC waliona mbali sana.
Huyo jamaa sio wa kupewa nafasi ya kuongea kanisani
 
Fikiria huyu akiwa Rais si ataua Kanisa lote la Kristo.
 
Attachments

  • Screenshot_20260714-183814~2.png
    Screenshot_20260714-183814~2.png
    1.4 MB · Views: 11
Kama kuna makosa makubwa hilo kanisa au huyo mtumishi kufanya basi ni kumpa MIC huyo mwanasiasa kutoa neno, mahali pa kuabudia ni sehemu TAKATIFU sana. Hakupaswi kuchanganywa na mambo kama hayo.

Inafikirisha na kusikitisha kuona Kanisa/Watumishi wamefikia hatua ya kuidharau madhabahu kiasi hiko.
hatari
 
Back
Top Bottom