Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Semeni yote lakini mtu anayeitwa makonda ana akili ndogo sana . Vile tupo Tanzania anaweza kuja kuwa hata raisi lakini kwa wenzetu asingreeza kuwa hata mtendaji wa Kijiji. Gap la shule lipo dhahir kabisaTatizo linaanzia KKKT ni kanisa la wachaga🥹🥹wachaga wepesi sana kununulika wanapoona Kuna sehemu ya Hela na itakuwa Konda Boy alitoa sadaka ya pesa ndefu si ni mbunge wao wa huko Arusha
Mungu aliye hai ni yupi na mungu aliyekufa ni yupi ??Ushauri wangu ni kuwa kuwe na kanisa la serikali ambako viongozi watahubiri, wataombea watu na taifa; madhabahu ya Mungu aliye hai ibaki na watu wake walioitwa na Mungu kwa kazi hiyo
HAHAHAHHH!Njoo RC wenye msimamo usio yumbishwa =tumenyooka kama roho mtakatifu na mapaji yake saba
` Atukuzwe baba na mwana na la roho mtakatifu,unajibu kama mwanzo na sasa na la roho mtakatifu Amina
Namba minari za makamisa zinavyotumika ni kumkosea Mungu na watu wake.Serikali Haina dini.
Atakuwepo tu kwanini akosekaneMungu aliye hai ni yupi na mungu aliyekufa ni yupi ??
Huyo jamaa sio wa kupewa nafasi ya kuongea kanisaniAlichokifanya Makonda hapo kanisa la KKKT ni utovu mkubwa sana wa nidhamu. ndo maana watu wote walikuwa wanamshangaa tu akiendelea kubwabwaja utopolo.
Huwezi kupewa microphone 🎤 kanisani halafu uanze kuwasema vibaya maaskofu wanaokosoa serikali na kudhinda mtandaoni.
Kanisa na maaskofu wana wajibu wao kiroho lakini kama raia kutoa maoni yao kwa nchi kama wazalendo wengine. Makonda hana mamlaka ya kuwaelekeza nini cha kufanya wana miongozo yao.
Tunamjua.Bangonza . kitima Gwajima na wengine ni wakosoaji wakubwa sana wa serikali.
Kwa kuwa KKKT wamekubali kukubatia Nyoka siku moja atawatoa uhai . Nyoka hanaga urafiki na mtu. TEC waliona mbali sana.
Fikiria huyu akiwa Rais si ataua Kanisa lote la Kristo.Alichokifanya Makonda hapo kanisa la KKKT ni utovu mkubwa sana wa nidhamu. ndo maana watu wote walikuwa wanamshangaa tu akiendelea kubwabwaja utopolo.
Huwezi kupewa microphone 🎤 kanisani halafu uanze kuwasema vibaya maaskofu wanaokosoa serikali na kudhinda mtandaoni.
Kanisa na maaskofu wana wajibu wao kiroho lakini kama raia kutoa maoni yao kwa nchi kama wazalendo wengine. Makonda hana mamlaka ya kuwaelekeza nini cha kufanya wana miongozo yao.
Tunamjua.Bangonza . kitima Gwajima na wengine ni wakosoaji wakubwa sana wa serikali.
Kwa kuwa KKKT wamekubali kukubatia Nyoka siku moja atawatoa uhai . Nyoka hanaga urafiki na mtu. TEC waliona mbali sana.
Una laana wewe. Mnadhani huyo chivuyo atawafikisha mbinguni?this is the most nonsense article of the day gentleman 🐒
calm down and plz relax gentleman,Una laana wewe. Mnadhani huyo chivuyo atawafikisha mbinguni?
Sijakuuliza kuwepo au kutokuwepo. Swali ni, Mungu aliye hai ni yupi na mungu aliyekufa ni yupi ??Atakuwepo tu kwanini akosekane
this is the most nonsense article of the day gentleman 🐒
Nimeshahamia juzi. RasmiNafikiria kuhamia RC, hii KKKT haina tofauti na BAKWATA
Hongera sanaNimeshahamia juzi. Rasmi
hatariKama kuna makosa makubwa hilo kanisa au huyo mtumishi kufanya basi ni kumpa MIC huyo mwanasiasa kutoa neno, mahali pa kuabudia ni sehemu TAKATIFU sana. Hakupaswi kuchanganywa na mambo kama hayo.
Inafikirisha na kusikitisha kuona Kanisa/Watumishi wamefikia hatua ya kuidharau madhabahu kiasi hiko.
nomaFikiria huyu akiwa Rais si ataua Kanisa lote la Kristo.
Your stupidity level is very highthis is the most nonsense article of the day gentleman 🐒