Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ndio Maana Watz tuko hivi Tulivyo, basi kama unadharura omba msamaha na uahidi ni lini utalipa lakini jitu linakaza fuvu likitaka mutapeliNilishawahi sema wabongo wengi hatuko tayari kufuata sheria wala makubaliano kwenye mikataba. Tuna chembechembe za utapeli na dhuluma. Kama ulikopeshwa pesa na ukakubali kurejesha na riba kwanini usirejeshe kama ulivyokubali?
Cha ajabu anapata ujasiri wakuja kujisema hapa, ccm utaendelea kutawala mileleWalikusaidia ukiwa na shida, warejeshee hela zao maisha yaendelee. Kama walikusaidia, nawe tumia busara hiyo hiyo kuwalipa ndani ya wakati.
HahahaHao jamaa ni matapeli, lakin wanabadilisha kibao wanakuita wewe ndo una mpango wa kuwatapeli.
Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa.
Ilifika kipindi mpaka mfanyakaz wa boba cash alikuwa analia anaomba nirudishe japo nusu ya pesa yao nyingine wamenisamehe na iĺisgindikana. Hao pesa X wenyewe ilikuwa ikifika sehem najaza jina langu tu inaji"unistall" app yenyewe muda huohuo. Hawatoi ushirikiano kabisa kwa walichowahi kukutana nacho kwangu mm
Leo wananitumia meseji eti watatumia sms contact wangu wote kwamba mm tapeli nataka nisiwalipe. Wanadai wataharibu...
- NYOLODO
- bahari haraka hata jirani nani pesa pesa x popo sawa
- Replies: 65
- Forum: JF Chit-Chats
Nyie ndio mnakatwa Vichwa mnakula hela za watu na bado mnatambaHao jamaa ni matapeli, lakin wanabadilisha kibao wanakuita wewe ndo una mpango wa kuwatapeli.
Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa.
Ilifika kipindi mpaka mfanyakaz wa boba cash alikuwa analia anaomba nirudishe japo nusu ya pesa yao nyingine wamenisamehe na iĺisgindikana. Hao pesa X wenyewe ilikuwa ikifika sehem najaza jina langu tu inaji"unistall" app yenyewe muda huohuo. Hawatoi ushirikiano kabisa kwa walichowahi kukutana nacho kwangu mm
Leo wananitumia meseji eti watatumia sms contact wangu wote kwamba mm tapeli nataka nisiwalipe. Wanadai wataharibu...
- NYOLODO
- bahari haraka hata jirani nani pesa pesa x popo sawa
- Replies: 65
- Forum: JF Chit-Chats
Una bahati sana hata kule kufanikisha kuwakopa!Kuna application hii ya kutoa mikopo mitandaoni inaitwa KKPESA naombeni muifuatilie kwa ukaribu sana.
1. Riba zao ni kubwa na inatakiwa mkopo ulipwe kwa muda mfupi sana siku 7.
2. Siku ya 6 kabla ya kufika siku ya rejesho wanakushurutisha ulipe deni kwa nguvu kwa kutoa maneno ya kejeli na sms za vitisho.
3. Wanatafuta watu/contact list yako bila ridhaa yako na siku ambayo hujapitisha rejesho. Naombeni mtusaidie ni scam application inatunyonya Watanzania na kutokana na ugumu wa maisha unajikuta umeingia kwenye mfumo wa kuchukua fedha katika application hiyo.
Kwa elimu yangu ndogo najua haifuati sheria za mikopo katika ukubwa wa riba. Watu wanateketea na kutapeliwa hela zao kutokana na hii application.
Naomba kuwasilisha🙏🏿🙏🏿
View attachment 3593022View attachment 3593023View attachment 3593024View attachment 3593025
Wewe ni mpuuzi na ni hatari kwa usalama wako. Acha hii tabia.Hao jamaa ni matapeli, lakin wanabadilisha kibao wanakuita wewe ndo una mpango wa kuwatapeli.