Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Yanga muke ya SIMBA piga keleleeeeeGoli pekeee yq Balinya kwa free kick kipindi cha kwanza inaipeleka Yanga hatua inayofuata ya Caf champions league.Tutacheza na Zesco au Green Mambas.
Yangaaaaaaaa daima mbele,nyuma mwiko.
Huu ndiyo umbumbumbu wenyewe,tafuta head to head,nani kamfunga magoli mengi nwenzake,ukipata majibu ndiyo uje hapaYanga muke ya SIMBA piga keleleeeee
viva yanga !YANGA 1 Township 0-Mungu ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania
Ha ha haaaYanga mkishinda tutaweka wapi nyuso zetu!!!
Walijua sisi tumetoka sasa saizi wamebaki kimyaaawoyooooo!
mbumbumbu kesho kipigo kinawahusu.. halafu out
Kwann yanga mna roho mbaya. Sisi tumewabeba mkaingia ligi ya mabingwa. Bado tunafurahi kuona mmewakilisha vyema. Ila kwa nn nyie MNA roho za kwa nini.woyooooo!
mbumbumbu kesho kipigo kinawahusu.. halafu out
Simba imekujaje hapa?Ushindi wa Simba ugenini ni sare! zaidi ya hapo ni 3-0, 4-0, au 5-0!
Kwann yanga mna roho mbaya. Sisi tumewabeba mkaingia ligi ya mabingwa. Bado tunafurahi kuona mmewakilisha vyema. Ila kwa nn nyie MNA roho za kwa nini.
Mbambane swallos 0-4 Simba scUshindi wa Simba ugenini ni sare! zaidi ya hapo ni 3-0, 4-0, au 5-0!
Bingwa wa nchi unamfunga kwao.. Esperance walipata draw..kuwa na adabu...mwanbie na mkeoJamaa waoga kama wanaoga nje. Mpaka wafunge ndio wanatokea
Eti This is Yanga,hovyoooooo. IGA UFEThis iz Yanga timu ya wananchi! Wengine kushinda nje ya nchi ni ndoto
Mmejitahidi Sana! Hongereni ila Safari si fupi..Bingwa wa nchi unamfunga kwao.. Esperance walipata draw..kuwa na adabu...mwanbie na mkeo
Dreamliner imenyakwa kwa Ramaphosa