Unapoteza muda na mbumbumbu walioshikiwa akili na Haji. Akiwaambia wanye njiani, watafanya hivyo.Huu ndiyo umbumbumbu wenyewe,tafuta head to head,nani kamfunga magoli mengi nwenzake,ukipata majibu ndiyo uje hapa
Angemtoa mshambuliaji mmoja ili ajaze viungoIla Leo kwa kweli Yanga wamecheza mpira hasa kipindi cha kwanza. Sub ya kumtoa Banka kidogo imcost Mwinyi Zahera.
wewe na yule jamaa yenu manara unafkiri hatuskiagi mnayosema?Kwann yanga mna roho mbaya. Sisi tumewabeba mkaingia ligi ya mabingwa. Bado tunafurahi kuona mmewakilisha vyema. Ila kwa nn nyie MNA roho za kwa nini.
Kwann yanga mna roho mbaya. Sisi tumewabeba mkaingia ligi ya mabingwa. Bado tunafurahi kuona mmewakilisha vyema. Ila kwa nn nyie MNA roho za kwa nini.
walisema zinaenda mbili zinabaki mbili nadhani zimekwisha enda mbiliHongereni Azam na Yanga kwa kuvuka na hivyo kwenda hatua inayofuata kwa ushindi mnono wa nyumbani na ugenini! Ngoja tuwaone na hawa mbumbumbu fc kesho watafanyaje. Nao nawatakia ushindi ingawa baadhi ya mashabiki wake, kwa sababu tu ya umbumbumbu wao, wamekuwa wakituombea Yanga njaa bila mafanikio.
This iz Yanga timu ya wananchi! Wengine kushinda nje ya nchi ni ndoto
acha wateseke walikaririWalijua sisi tumetoka sasa saizi wamebaki kimyaaa
Kama nawaona Simba wanavoteseka maana walitubeza sana.
Yanga hawezi mfunga zescomechi na Zesco tunataka zote tuchezee ugenini Zambia. Tutawachapa huko huko kwao!
Ulichokiandika ni umbumbumbu mtùpuKumbe sio timu ya wananchi tena mkishinda.
Mkishinda inageuka na kuwa Dar Young Adrican.
Mkifungwa " tumeonewa ewa.. mkifungwa mnageuka na kuwa, Hao ndio Dar Young African.
Au Mabingwa ahaangaliagi njaa, Bali chakula
Mapambano yanaendeleaviva yanga !
Umeandika nini hapa! Viroba vineshapigwa marufuku acha kutumiaKumbe sio timu ya wananchi tena mkishinda.
Mkishinda inageuka na kuwa Dar Young Adrican.
Mkifungwa " tumeonewa ewa.. mkifungwa mnageuka na kuwa, Hao ndio Dar Young African.
Au Mabingwa ahaangaliagi njaa, Bali chakula
Mmejitahidi Sana! Hongereni ila Safari si fupi..
Hata mzungu wao kapoa kama maji ya mtungini,anajifanya mzalendo kwenye kupost kwenye social media accounts zakeKama nawaona Simba wanavoteseka maana walitubeza sana.