Klabu bingwa Africa: Yanga yaichapa Township Rollers 1 - 0 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili

Halafu kwenye uzi mmoja uliwatahadharisha viongozi na wanasimba wenzako juu ya uwezo wa timu yenu, jamaa wakakuchana sana. Pole Mkuu, ila sasa wanakukumbuka.
Wabongo tumezoea kudanganyana na kujipa matumaini hewa iwe kwenye siasa, michezo au hata maisha ya kawaida tu.

Ukiwaambia watu uhalisia wa jambo utaishia kutukanwa na kubezwa tu mkuu
 
Ngoja tuone nini kitajili huko Sudan wiki ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…