Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Imekula kwenu aisee mazima.Tulichemsha. Hatuna cha kujitetea, hakuna wa kumlaumu. Makosa yetu wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekula kwenu aisee mazima.Tulichemsha. Hatuna cha kujitetea, hakuna wa kumlaumu. Makosa yetu wenyewe
Wabongo tumezoea kudanganyana na kujipa matumaini hewa iwe kwenye siasa, michezo au hata maisha ya kawaida tu.Halafu kwenye uzi mmoja uliwatahadharisha viongozi na wanasimba wenzako juu ya uwezo wa timu yenu, jamaa wakakuchana sana. Pole Mkuu, ila sasa wanakukumbuka.
Ubingwa wa kupewa kwa kuachiwa viporo ndiyo madhara take haya,Jana mlidhani refa in wa tifuatifua kumbe wa cafRudia tena ulichokisema!
Kwani nyie mnawakilisha klabu bingwa, nyie ni bingwa wa nchi gani?
Kama hamna ubingwa mkubali kua mmebebwa
Pole sana Mkuu, utakuwa umeumia sana!Wabongo tumezoea kudanganyana na kujipa matumaini hewa iwe kwenye siasa, michezo au hata maisha ya kawaida tu.
Ukiwaambia watu uhalisia wa jambo utaishia kutukanwa na kubezwa tu mkuu
Dah! Mwaka huu tunarudi kwenye ligi yetu tupigane vikumbo na kina Namungo FCImekula kwenu aisee mazima.
Tu naamini porojo kuliko professionalismWabongo tumezoea kudanganyana na kujipa matumaini hewa iwe kwenye siasa, michezo au hata maisha ya kawaida tu.
Ukiwaambia watu uhalisia wa jambo utaishia kutukanwa na kubezwa tu mkuu
Na mpewe viporo kwa wingi kama mwaka jana.Dah! Mwaka huu tunarudi kwenye ligi yetu tupigane vikumbo na kina Namungo FC
Daima mbele
Tena maumivu leo hasa ndiyo nayasikia. Tangia ile asubuhi unaamka unapokumbuka tu kua mshatupwa nje ya CCL moyo unapiga paaaaa! Unatamani ingekua ni ndoto tuPole sana Mkuu, utakuwa umeumia sana!
Safari hii viporo tunawaachia nyinyi mkuuNa mpewe viporo kwa wingi kama mwaka jana.
Eti kwa kikosi hiki cha SSC hata akija Barcelona anakaa! Mambo kama hayo ya kujipa kichwa na kujiona Simba ni level nyingine ndio yametuponzaTu naamini porojo kuliko professionalism
Halafu walienda kutalii tu South Africa. Walikuwa wanashangaa flyovers na maghorofa kama alivyodai MusonyeUbingwa wa kupewa kwa kuachiwa viporo ndiyo madhara take haya,Jana mlidhani refa in wa tifuatifua kumbe wa caf