Klabu bingwa Africa: Yanga yaichapa Township Rollers 1 - 0 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili

Klabu bingwa Africa: Yanga yaichapa Township Rollers 1 - 0 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili

Ahsanteni sana kwa wote.Mungu ibariki Yanga Mungu ibariki Africa
Screenshot_2019-08-24-18-22-32.jpeg
 
Goli pekeee yq Balinya kwa free kick kipindi cha kwanza inaipeleka Yanga hatua inayofuata ya Caf champions league.Tutacheza na Zesco au Green Mambas.



Yangaaaaaaaa daima mbele,nyuma mwiko.
 
Hongereni, najua ushindi wenu hamjaufaidi ipasavyo mpaka pale mtakapoona simba imefungwa japo ni ndoto
 
Mmnh subiri hapo kabla dk za lawama usije kuwa ulitaka kuomba dua jamaa wachomoe betri[emoji2][emoji2][emoji2]
Wanatoka mbagala kiburugwa, chanika sasa ndio wanataka kuingia uwanjani ?
 
Back
Top Bottom