Klabu bingwa Africa: Yanga yaichapa Township Rollers 1 - 0 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili

Klabu bingwa Africa: Yanga yaichapa Township Rollers 1 - 0 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili

Yanga kajibeba mwenyewe kwa point
Alizokusanya, mmewabeba KMC tu mikia wewe
Rudia tena ulichokisema!
Kwani nyie mnawakilisha klabu bingwa, nyie ni bingwa wa nchi gani?
Kama hamna ubingwa mkubali kua mmebebwa
 
Goli pekeee yq Balinya kwa free kick kipindi cha kwanza inaipeleka Yanga hatua inayofuata ya Caf champions league.Tutacheza na Zesco au Green Mambas.



Yangaaaaaaaa daima mbele,nyuma mwiko.
Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....................
 
Back
Top Bottom