Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Meza imegeuka stuli! Yanga buana! Tutaendelea kukutana Terminal 2!
 
Sasa viti maalum mje mpambane wenyewe kwenda club bingwa au shirikisho tuone kama mtatoboa, makombe yote mawili yanaenda Simba
 
Aliyemsajili Ali Ali hana akili. Ndiye uchochoro wa timu. Mchezaji mwenye sifa ya kuchezea Stand United, analetwa kucheza timu kama Yanga?

Kocha nae ni komeo tu! Timu iko nyuma mpaka dk ya 80, hutaki kufanya mabadiliko.
Yanga na Stand ni level moja tu
 
Vyura hawagusi huu uzi milele [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…