Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitu kinachofurahisha sasa hivi ni Yanga kufuatiliwa kwa karibu na Watanzania kupita Simba, yale maneno ya simba sijui iga ufe, next level na ule wimbo wao wa kuhamasisha vyote vimekufa, mbwembwe zote za usajili wa mabilioni zimekufa, leo simba anacheza hakuna mtu anaejali, hata akishinda hakuna anaejali, kweli kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
Lini mkashinda tukawajali..? Usisahau uko mkiani TPLkitu kinachofurahisha sasa hivi ni Yanga kufuatiliwa kwa karibu na Watanzania kupita Simba, yale maneno ya simba sijui iga ufe, next level na ule wimbo wao wa kuhamasisha vyote vimekufa, mbwembwe zote za usajili wa mabilioni zimekufa, leo simba anacheza hakuna mtu anaejali, hata akishinda hakuna anaejali, kweli kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
Hawa mikia wapo na lopolopo wao ,akili yao nyeupe kama lopolopo .Mbumbumbu fc wakakutana na fc Libolo akiwa *** kimoja wao chaliiiiiiiiiYaani wao ndio wanakihoro na game yetu kuliko hata sisi wenyewe.
Ama kweli Yanga ni ya wote. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mwenye mkia bongo si wamfahamu kama unavutwa mkia wake uko sahihiBongo tu inavuta mkia
Wape vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao. 😅😅😅kitu kinachofurahisha sasa hivi ni Yanga kufuatiliwa kwa karibu na Watanzania kupita Simba, yale maneno ya simba sijui iga ufe, next level na ule wimbo wao wa kuhamasisha vyote vimekufa, mbwembwe zote za usajili wa mabilioni zimekufa, leo simba anacheza hakuna mtu anaejali, hata akishinda hakuna anaejali, kweli kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.