Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

A hana nao hao, mwanafunzi aliye feli mtihani wa darasa la saba kumcheka aliye feli kidato cha nne ni ujuha mtupu.
Ama kweli kutolewa mapema ni ugonjwa mbaya sana. [emoji3][emoji3][emoji3]

Poleni Mikia na tungeshinda leo kwa raha ninazoziona hapa wengi mngepata Ugonjwa wa moyo.

Mshukuruni Makame. Teh
 
Yah. Bado tupo tupo Mtani.
Kijana wetu Makame

Msije mkaanza mletea figusu figisu
Ombi letu ni hilo.

Sisi wacha tuendelee kimbizana uku
Hatutalamikia viporo vyenu wa kimataifa kama nyinyi mlivokuwa mkilalama.

IMG_20190929_070501_504.JPG
 
Kijana wetu Makame

Msije mkaanza mletea figusu figisu
Ombi letu ni hilo.

Sisi wacha tuendelee kimbizana uku
Hatutalamikia viporo vyenu wa kimataifa kama nyinyi mlivokuwa mkilalama.

View attachment 1218417
Ila mzee Singida na Biashara mmoja wao ni lazima atashuka tena bila play off moja kwa moja FDL.
.
Mtibwa hawana tabu wakichangamka utashangaa wako nafasi ya sita
 
Singida ipunguze kugawa wachezaji kwa Yanga..
Biashara itagawa sana point msimu huu, kubaki VPL sio rahisi.
 
A hana nao hao, mwanafunzi aliye feli mtihani wa darasa la saba kumcheka aliye feli kidato cha nne ni ujuha mtupu.
Plz Simba haikufeli darasa la Saba, walifaulu ila hawakuchaguliwa kwenda sekondari, yanga walifaulu Kwa kuibia mtihani matokeo ya form four wamegonga zero kabsaaaa, yaani wametaga yai yaaani wamepiga D, F, F, F, F, F, F,
 
hahahahaaaaa khaaaaah hahahaaaaaa watu mna majibu jamaniii kumbe bwana chura aliibia mtihanii
 
Nilirudi sijakukuta Pacha.

Naona mmetuchawia weeee mpaka tukashindwa kupindua meza. 🙈🙈🙈🙈
Mmekosea badala ya kupindua meza mkapindua makalio. Ona sasa mmeunganishwa na gridi ya umeme bila shuruti
 
Back
Top Bottom