Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Toooba.Kwani Simba ilianza kufungwa tano hatua gani au ndo umefufuka leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toooba.Kwani Simba ilianza kufungwa tano hatua gani au ndo umefufuka leo?
Ama kweli kutolewa mapema ni ugonjwa mbaya sana. [emoji3][emoji3][emoji3]
Poleni Mikia na tungeshinda leo kwa raha ninazoziona hapa wengi mngepata Ugonjwa wa moyo.
Mshukuruni Makame. Teh
Kijana wetu MakameYah. Bado tupo tupo Mtani.
Niliona nitoe msaada wa kiroho kwa wanavyura waliojeruhiwa huku mtaaniNilirudi sijakukuta Pacha.
Naona mmetuchawia weeee mpaka tukashindwa kupindua meza. 🙈🙈🙈🙈
Ila mzee Singida na Biashara mmoja wao ni lazima atashuka tena bila play off moja kwa moja FDL.Kijana wetu Makame
Msije mkaanza mletea figusu figisu
Ombi letu ni hilo.
Sisi wacha tuendelee kimbizana uku
Hatutalamikia viporo vyenu wa kimataifa kama nyinyi mlivokuwa mkilalama.
View attachment 1218417
Pole sana najua inaumaMbumbumbu fc mtaendelea kutushangilia wa Kimataifa.
Toooba.
Singida ipunguze kugawa wachezaji kwa Yanga..Ila mzee Singida na Biashara mmoja wao ni lazima atashuka tena bila play off moja kwa moja FDL.
.
Mtibwa hawana tabu wakichangamka utashangaa wako nafasi ya sita
Bila shaka lugha zenu zinaanza kuwa nzuri.A hana nao hao, mwanafunzi aliye feli mtihani wa darasa la saba kumcheka aliye feli kidato cha nne ni ujuha mtupu.
Mkuu kweli wamejifunga ila ni MAKAME MBALAWA sio MTONI SONSO.Ally mtoni atajifunga na hilo goli litadumu mpaka dakika ya 80 ambapo wazambia watapata penalti na kuwalaza yanga 2-0
Hakika.. tena Africa sebeneYanga mabingwa wapya wa Africa
Bongo tu inavuta mkiayanga yafaa ahamishwe ligi akacheze A.kusini huko. huku bongo ni kumpotezea muda
Plz Simba haikufeli darasa la Saba, walifaulu ila hawakuchaguliwa kwenda sekondari, yanga walifaulu Kwa kuibia mtihani matokeo ya form four wamegonga zero kabsaaaa, yaani wametaga yai yaaani wamepiga D, F, F, F, F, F, F,A hana nao hao, mwanafunzi aliye feli mtihani wa darasa la saba kumcheka aliye feli kidato cha nne ni ujuha mtupu.
hahahahaaaaa khaaaaah hahahaaaaaa watu mna majibu jamaniii kumbe bwana chura aliibia mtihaniiPlz Simba haikufeli darasa la Saba, walifaulu ila hawakuchaguliwa kwenda sekondari, yanga walifaulu Kwa kuibia mtihani matokeo ya form four wamegonga zero kabsaaaa, yaani wametaga yai yaaani wamepiga D, F, F, F, F, F, F,
Mmekosea badala ya kupindua meza mkapindua makalio. Ona sasa mmeunganishwa na gridi ya umeme bila shurutiNilirudi sijakukuta Pacha.
Naona mmetuchawia weeee mpaka tukashindwa kupindua meza. 🙈🙈🙈🙈
Mmekosea badala ya kupindua meza mkapindua makalio. Ona sasa mmeunganishwa na gridi ya umeme bila shurutiNilirudi sijakukuta Pacha.
Naona mmetuchawia weeee mpaka tukashindwa kupindua meza. 🙈🙈🙈🙈