Huwezi kuwaona tena hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MkiaKila la heri zesco
Hivi wametolewa wale tuliowapa kikiUd Songo pamoja na mke wake Dar Young African out
Ule msemo wa "Tukitoka klabu bingwa tunaenda shirikisho"..Ndege inaendelea kupandwa
Play off mtapita vyura?Wanacheza shirikisho..mbumbumbu nyie
Wamepigwa comeback ambayo haijawah kutokeaHivi wametolewa wale tuliowapa kiki
Yaani wamebaki wenyewe tu saa hii. 🤣🤣🤣Bad luck,nyie endeleeni kuwa kikundi cha ushangiliaji tu kwa wageni mbumbumbu fc
Pole sana mtani... ila bado mumo kama hamumo hvDaah! Imefungwa timu ya Wananchi ila Mikia ndio wanaweweseka.
Wanashangilia utadhani sisi kutolewa wao wanachukua nafasi ya kusonga mbeleYaani wamebaki wenyewe tu saa hii. 🤣🤣🤣
Tumejua kuwatesa sana yaani
Kama nyie mlivyokuwa msimu uliopita.Bad luck,nyie endeleeni kuwa kikundi cha ushangiliaji tu kwa wageni mbumbumbu fc
Hahahaaa. Hawajui bado tupo Kimataifa.Wanashangilia utadhani sisi kutolewa wao wanachukua nafasi ya kusonga mbele
Hahahaaa. lol.Kama nyie mlivyokuwa msimu uliopita.
Sisi siyo mbumbumbuKama nyie mlivyokuwa msimu uliopita.