Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Yanga inaingia moja kwa
moja hatua ya makundi kombe la shirikisho!
Big no, Yanga haiingii moja kwa moja hatua ya makundi shirikisho, itabidi icheze mtoano (play off). Itapangwa ratiba ambapo failures bora 16 was ligi ya mabingwa kama Ud Songo, Yanga watacheza na 16 bora za confederation kama triangle, Al Masry ambapo zitapatikana 16 bora zitakazoingia makundi.
 
Utalijua tu siku tukiwa Uwanjani.

Mikia wenzio watakuhabarisha kama leo walivyotuhabarisha. 🤣🤣🤣🤣
I can feel the pain behind hizo emojis, ndio ukubwa lakini
 
Amsha amsha zimewafanya wawe kideoni dkk zote 90. Chezea Yanga nyie. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom