Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili limezingatiwa sana [emoji2][emoji2]Simba katolewa kwa kanuni
Yanga katolewa kwa kufungwa
Naomba hili lizingatiwe
Hahaaaa wacha mkuu..na bado !Wamepigwa comeback ambayo haijawah kutokea
Utakuja ujue baadae.. kwa sasa tamba tu mtaniWanashangilia utadhani sisi kutolewa wao wanachukua nafasi ya kusonga mbele
Big no, Yanga haiingii moja kwa moja hatua ya makundi shirikisho, itabidi icheze mtoano (play off). Itapangwa ratiba ambapo failures bora 16 was ligi ya mabingwa kama Ud Songo, Yanga watacheza na 16 bora za confederation kama triangle, Al Masry ambapo zitapatikana 16 bora zitakazoingia makundi.Yanga inaingia moja kwa
moja hatua ya makundi kombe la shirikisho!
I can feel the pain behind hizo emojis, ndio ukubwa lakiniUtalijua tu siku tukiwa Uwanjani.
Mikia wenzio watakuhabarisha kama leo walivyotuhabarisha. 🤣🤣🤣🤣
Karibuni na vigoma vyenu confideration cupUtakuja ujue baadae.. kwa sasa tamba tu mtani
Hahahahaaa. Wavipashe moto kabisa ili viwe na sauti.Karibuni na vigoma vyenu confideration cup
Nyie ni vyura mkuu.. na badoSisi siyo mbumbumbu
Ally Ally amewafundisha wachezaji wa Yanga nanna Bora ya kujifungaLile goli la kujifunga la Abduli-Azizi Makame unaweza kuombea mkopo CRDB BANK.
Wamejipendekeza wakaenda HT wakiwa wanaongoza 2 ila FT imesoma 2-4Hahaaaa wacha mkuu..na bado !
Hatuachi kuwazomea nafikir hilo sio geni...Karibuni na vigoma vyenu confideration cup
Ingekuwa wametolewa wao hapa wasingeonekana.Sisi siyo mbumbumbu
Abduli-Azizi Makame atatuhabarisha zaidi kwanini amechomoa betiri la ZESCO UNITED.Utalijua tu siku tukiwa Uwanjani.
Mikia wenzio watakuhabarisha kama leo walivyotuhabarisha. 🤣🤣🤣🤣