Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

Yanga mpira mdogo sana asingeweza kwenda popote na hata kwenye hii ligi ya mchangani haendi kokote.

Waachane na huyu mkongoman kwani uwezo wake ni mdogo sana ila maneno ndio mengii, watafute kocha mwingine anayeweza kunoa timu ifunge magoli.
 

Wewe umekula Makande ya Chato si bure

Mulipofatilia mechi ya Simba na UD SONGO mulisahau Kuwa ile mechi ni ya Simba vs UD Songo na wala sio ya Yanga.

Lakini sisi kufatilia ya Kaka zetu wapendwa Zesco munaanza kuweweseka na Ngonjera
 
Lini mkashinda tukawajali..? Usisahau uko mkiani TPL
 
Yaani wao ndio wanakihoro na game yetu kuliko hata sisi wenyewe.

Ama kweli Yanga ni ya wote. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa mikia wapo na lopolopo wao ,akili yao nyeupe kama lopolopo .Mbumbumbu fc wakakutana na fc Libolo akiwa *** kimoja wao chaliiiiiiiii
 
Wape vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…