Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

.
68795683_2313287712269444_3896349525832368128_n.jpeg
69753885_632865490538959_6938979507361546240_n.jpeg
69329014_373656383566862_8905569543854751744_n.jpeg
66450669_1064965860371539_8397636128630374400_n.jpeg
59534129_479547162783125_4033816796023750656_n.jpeg
57155606_394542124720689_3634527469064683520_n.jpeg
 
Akili za Vyura bhana! Kumbe ni haki yao Vyura kugonga Mayai (External Fertilization) badala ya kugonga Papuchi [emoji23] [emoji23][emoji23]

Simba alipotoa draw na UD SONGO wao walishangiria wiki Nzima, Lakini sisi kushangiria Draw yao na ZESCO wanaona ni upumbavu! 😀

Kumbe upumbavu waliuanza wao kuufanya kwa UD SONGO na sisi tunawaiga tu kwa ZESCO
Mkuu mjikite katika ligi kuu huku... mechi za kimataifa haziwahusu..
 
Mwanzo mzuri Yanga! Bado nafasi ipo, muhimu kupambana na kutokata tamaa.
 
Yanga tuliyataka wenyewe maana tumeacha senior players wengi kwa kuzani viwango vya vimeisha. Sasa usajili wa kupinga umefanyika.
 
wachumba tu wale wanaenda kutokea huko huko kwao
hata mkinuna nyie mikia tu sie ndio wa kimataifa original
 
Nimepitia mwanzo mpaka mwisho yaani inaonyesha ni dhahiri lile jinamizi la Du Singo linawatesa sana Mtani. Haiwezekani uzi muushadadie kiasi hiki na hapo tumetoka sare tu. Tungefungwa je? 🤔🤔🤔
Eti ni kweli mechi yote ilikuwa na kona sita tu?
 
Tunawasubiri Zambia..na Leo tulicheza timu B...
Gooooooooooooooooooo ni Thikara Kamusoko. Yanga oooooout
Asante Zesco
Gooooooaaaaaaaallllllllllllll
Vyuraaaaaa 1 - 1 Zesco dk 95
Vyuraaaaaaaaaa chiiiiiiiiiiiiiniiiiiiiii Shadeeya
KAMUSOKO WE LOVE YOU

Aiseee!!!! Nawaza tu wasingekomboa jinsi ambavyo mngeweweseka Watani.

Nionavyo bado chance tunayo.
 
Back
Top Bottom