Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mjikite katika ligi kuu huku... mechi za kimataifa haziwahusu..Akili za Vyura bhana! Kumbe ni haki yao Vyura kugonga Mayai (External Fertilization) badala ya kugonga Papuchi [emoji23] [emoji23][emoji23]
Simba alipotoa draw na UD SONGO wao walishangiria wiki Nzima, Lakini sisi kushangiria Draw yao na ZESCO wanaona ni upumbavu! 😀
Kumbe upumbavu waliuanza wao kuufanya kwa UD SONGO na sisi tunawaiga tu kwa ZESCO
Huenda Yanga wakavunja hiyo rekodi! Bado nafasi ipoRwandamina anasema Zesco haijawahi kupoteza mechi ya kimataifa Levi Mwanawasa.......mtajuta kubebwa na Simba
Utatukana hadi uchoke, lakin huu ni mpira tu.nakuona mbumbumbu unashabikia droo ya zesco, kweli nimeamini mashabiki ya simba ni mapumbavu
Supply' S' stands for what?
Hata Droo ya 2-2 ni kutopotezaRwandamina anasema Zesco haijawahi kupoteza mechi ya kimataifa Levi Mwanawasa.......mtajuta kubebwa na Simba
Bora mtoke mapema .
Mpumzike mtakwenda kutia aibu bure huko hatua za makundi.
Na kupoteza muda.
Hatujapewa bado jukumu la kulidhalilisha taifa kwa kukung'utwa 5-5-4 kama 5imba KokoUle usemi wa Yange nyuma daima mbele mwiko utajidhihirisha leo pale kwa mkapa wa kila saba
Nimepitia mwanzo mpaka mwisho yaani inaonyesha ni dhahiri lile jinamizi la Du Singo linawatesa sana Mtani.
🤣🤣🤣🤣 Mtani ulijua kuteseka bana.Zesco nao mafala tu,wanazidiwa hata na Pamba na Polisi
Eti ni kweli mechi yote ilikuwa na kona sita tu?Nimepitia mwanzo mpaka mwisho yaani inaonyesha ni dhahiri lile jinamizi la Du Singo linawatesa sana Mtani. Haiwezekani uzi muushadadie kiasi hiki na hapo tumetoka sare tu. Tungefungwa je? 🤔🤔🤔
Tunawasubiri Zambia..na Leo tulicheza timu B...
Gooooooooooooooooooo ni Thikara Kamusoko. Yanga oooooout
Asante Zesco
Gooooooaaaaaaaallllllllllllll
Vyuraaaaaa 1 - 1 Zesco dk 95
Vyuraaaaaaaaaa chiiiiiiiiiiiiiniiiiiiiii Shadeeya
KAMUSOKO WE LOVE YOU