Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Watanzania wepesi sana kusahau yaani wameshasahau zile tano hata mwezi bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga kaingiaje sasa, huu sasa ni zaidi ya uendawazimu. Wee komaa hata akija As Vita uchukue point, habari za Yanga zilete baada ya tarehe 16 feb
 
Yanga kaingiaje sasa, huu sasa ni zaidi ya uendawazimu. Wee komaa hata akija As Vita uchukue point, habari za Yanga zilete baada ya tarehe 16 feb
Mwendawazimu wewe uliyepanic mbona wenzako wako kimya? mji mzima mlikuwa mnazunguka oho goli 5 juzi kapigwa Chelsea 6 itakuwa Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Ombeni Vita afungwe na Js soura, other wise nafasi ya 3 inawahusu kwa mara nyingine 🤣🤣🤣
 
i wish ungekuja mbio hivi kama ile wakati mulilimwa mabao Tano - Sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…