Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

leo tarehe 12/02/2019 kulikua na mechi kati ya simba 1 na Al ahly 0 na kwa wale wasiokuwa na kumbukumbu
tarehe 16 mwezi wa pili simba watafanya mazoezi kwa ajili ya kuikabili as vita ya Congo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1020865

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wepesi sana kusahau yaani wameshasahau zile tano hata mwezi bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika Mungu humsikia mja wake , dua la kuku halimpati mwewe Yanga ya Bwawani leo wametoka vichwa chini kwa aibu hawakujua kuwa kila timu point 3 za nyumbani ni zake leo Mabingwa wa Nchi wamewachapa Al Ahly Bao kwa bila na kuchukua Point zote 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga kaingiaje sasa, huu sasa ni zaidi ya uendawazimu. Wee komaa hata akija As Vita uchukue point, habari za Yanga zilete baada ya tarehe 16 feb
 
Yanga kaingiaje sasa, huu sasa ni zaidi ya uendawazimu. Wee komaa hata akija As Vita uchukue point, habari za Yanga zilete baada ya tarehe 16 feb
Mwendawazimu wewe uliyepanic mbona wenzako wako kimya? mji mzima mlikuwa mnazunguka oho goli 5 juzi kapigwa Chelsea 6 itakuwa Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ombeni Vita afungwe na Js soura, other wise nafasi ya 3 inawahusu kwa mara nyingine 🤣🤣🤣
 
i wish ungekuja mbio hivi kama ile wakati mulilimwa mabao Tano - Sifuri
 
Back
Top Bottom