Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wameanza kwa kasi sana, itawagharimu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaa.Kinachoenda kufanyika ni kinyume cha kilichotokea. Kule walianza na 5 wakamaliza na bila.
Huku wanaanza na bila, watamaliza na 5.
Tabu iko palepale.
Kinachoenda kufanyika ni kinyume cha kilichotokea. Kule walianza na 5 wakamaliza na bila.
Huku wanaanza na bila, watamaliza na 5.
Tabu iko palepale.
Watch Live Streaming Football Yalla Shoot Free HDmwenye link ya kuona game live msaada please
Naona mnacheza kwa kuridhika sana.!
Naona mnacheza kwa kuridhika sana.!
Simba kama vile wamechoka
Hahahahaaaaaa, waambie wakaze kama sisi YANGASimba kama vile wamechoka
Timu haionyeshi kupambana kabisa, ni kama inacheza kukamilisha ratiba tu.