Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Screenshot_2019-02-12-16-24-36.png
 
Kinachoenda kufanyika ni kinyume cha kilichotokea. Kule walianza na 5 wakamaliza na bila.
Huku wanaanza na bila, watamaliza na 5.
Tabu iko palepale.
 
Kinachoenda kufanyika ni kinyume cha kilichotokea. Kule walianza na 5 wakamaliza na bila.
Huku wanaanza na bila, watamaliza na 5.
Tabu iko palepale.

Hahaaaaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Possession 54 waarabu 46, attempt 7 on target 1, mnacheza lkn mtu wa kupiga zile killer pass hamna hapo lazima mumuingize Dilunga. Kosa jinge waarabu wanapoozesha mpira na nyie mmekubali kupoa na ndio litawagharimu kuwachia waarabu wa control mchezo.
 
Back
Top Bottom