Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Naona vyura nao wanajipendekeza hapa viwanja vya mikumi,_____mtapata tabu sana vyura ni wa matopeni daima
 
Hakika Mungu humsikia mja wake , dua la kuku halimpati mwewe Yanga ya Bwawani leo wametoka vichwa chini kwa aibu hawakujua kuwa kila timu point 3 za nyumbani ni zake leo Mabingwa wa Nchi wamewachapa Al Ahly Bao kwa bila na kuchukua Point zote 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyura kama bata tu.... Ngoja tuwaimbie
Mabata madogo madogo yanaogelea (itikia jangwani..)

Jr[emoji769]
 
Hakika Mungu humsikia mja wake , dua la kuku halimpati mwewe Yanga ya Bwawani leo wametoka vichwa chini kwa aibu hawakujua kuwa kila timu point 3 za nyumbani ni zake leo Mabingwa wa Nchi wamewachapa Al Ahly Bao kwa bila na kuchukua Point zote 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hallelujah!!! Unyonge tuliokuwa nao hizi wiki kadhaa Mungu anajua!? Faraja hii kwa kweli!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom