mathewa
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 780
- 1,171
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furaha kama yoteee hakuna live band leo kule unapoendaga [emoji6]
Hatuna imani na Tanesco, tumeshinda mchana kweupeSema mlichomuweza muarabu leo ni kumchezesha sa 10 kwenye jua na joto kali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nini cha ajabu?Hakika Mungu humsikia mja wake , dua la kuku halimpati mwewe Yanga ya Bwawani leo wametoka vichwa chini kwa aibu hawakujua kuwa kila timu point 3 za nyumbani ni zake leo Mabingwa wa Nchi wamewachapa Al Ahly Bao kwa bila na kuchukua Point zote 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine kama huelewi kilichoongelewa ni heri ukaomba ufafanuzi.
Hatuna imani na Tanesco, tumeshinda mchana kweupe
Bado hamjasema.... Point 6 hizoNa mmeroga kweli waarabu wazito kama wamefungwa mawe
Ufafanuzi siwezi kupewa na mburulaSiku nyingine kama huelewi kilichoongelewa ni heri ukaomba ufafanuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaje game lakini??
wee Kagere muangalie huyo asije akatuingiza mkenge hapo.Kagoli kamoja halafu timu inapewa point 3. Hawa CAF inabidi wabadili sheria zao. Yaani timu ipigwe 5, aliyeshinda apewe point 3, huyu kabahatisha kamoja tena kakagere, naye apewe point 3. Ahhhh
na mapacha unapata kabisa you don't need a bunch of mazagazaga hahaha kupata mapacha atii
Umeonaje game lakini??
Umeona eehh!!!goli goli tuu!!!na mapacha unapata kabisa you don't need a bunch of mazagazaga hahaha kupata mapacha atii