kancher
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 469
- 467
Kwa wivu hawa kinamama wa huku mtaa wa kati!!
Unafikiri watatia neno!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri watatia neno!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahhahaNa mmeroga kweli waarabu wazito kama wamefungwa mawe
Full time As vita kapigwa. Ko simba tunahitaji ushindi nyumbani zid ya vita...AS Vita katunguliwa 1 na JS Saoura.
Mapambano yanaendelea.
Ndiyo wameshafungwa sasa!!Ombeni Vita afungwe na Js soura, other wise nafasi ya 3 inawahusu kwa mara nyingine 🤣🤣🤣
Abee Mtoto. 😎😎
Hahahaa. Hizi tag ningezipata kwenye zile mechi za Khamsa Khamsa mbona ningenenepa. 😜
Pambana na hali yakoMajukumu shoga. Ila wamenikera sana wale Waarabu.
Ndio nini sasa kile? [emoji3]
Hahaaaa. Lol.
[emoji23]huwezi kua seriousHahahaa. Hizi tag ningezipata kwenye zile mechi za Khamsa Khamsa mbona ningenenepa. [emoji12]
Nimekuja bana japo kwa kuchelewa.
Naona anatembelewa na kaupepo flan... Kule nako mwarabu kawaua wana bakurutuSimba bhana... dah!
Ngoja nisukutue kwa K Vant...
Kundi limekuwa tamu sanaNaona anatembelewa na kaupepo flan... Kule nako mwarabu kawaua wana bakurutu
Sent using Jamii Forums mobile app