Kwahiyo hamtaki tena mchango wake!??Ni mtoto wa mozambique..lakini anaupiga kama mbrazil
Na huo ndio muda ambao muarabu aliona bora Bayern kuliko Simbakuna muda mwarabu anachezewa nusu uwanja
Duh, mkurugenzi wa Tanesco aingilie kati mtumishi wake wamemuumiza.Dah Lwanga kaumia
Meneja wa TANESCO Kesharudi dimbani..💥💥💥💥
Ya mpirasevvila alicheza na nyau mashindano gani
Mashindano gani mkuu ya mpira ndo mashindano ganiya mpira
kwani sevilla inacheza rede?