KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Inatakiwa avae barakoa muda wote.....Sasa kuna huyu jamaa yetu MALCOM LUMUMBA anashabikia yanga na arsenal kwanini asikonde
π π πInatakiwa avae barakoa muda wote.....
[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]kumbe pot ni mjangwani??Ndugu yangu MALCOM LUMUMBA pole sana [emoji3][emoji3]
Atapata tabu sana[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]kumbe pot ni mjangwani??
Naomba tumwangalie ndugu yetu asijee kufa buree[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]kumbe pot ni mjangwani
Wameteleza kiurainiii bila mafuta π πWaarabu hawaamini kabisa,wanatamani afadhali wangekutana na wamanyema au makaburu
Wazawa mtupu Ni kwenye timu ya Taifa tu, hivi wewe utopolo hulijui hilo!! Hivi kwa nini mtu akiwa kidimbwi na ufahamu unaathirika?UNimeuliza swali sijajibiwa. Nawauliza tena mikia... Kikosi hiki cha simba ...wangapi wazawa!!!??
Uto watatuskia tuMashabiki wa Simba tupo juuJuuu kileleni
Yani watanisikia kwenye pipa naelekea MisriUto watatuskia tu
Uzi hauna mvuto,twende na kula tunda kimasihara
Majinga hayataishaSimba wapo porini tu hawa wa mjini ni paka
Tutaongea jioni asanteni.
NI. NGUMU KUAMINI
HIiZ N SABABU 3 ZA. SIMBA KUFUNGWA LEO
1)KUJIAMINI KUPITILIZA
2( KIWANGO KIDOGO CHA UWEZO KULINGANISHA NA WAARABU
3)IMANI MBOVU ZA KICHAWI
HII N SABABU KUBWA LEO SIMBA KUFUNGWA
WANAINGIA UWANJAN WAKIAMINISHWA USHINDI KUPITIA NGUVU ZA GIZA BADALA YA KUTAFTA MBINU ZA KUMMLIZA. MWAARABU
4;.......SIJJUI NISEMEEEE...
WALE WA MZIGO
GG
GG N OV2.5
HT OV 0
MALCOM LUMUMBASimba wamepiga chanjo ,Yanga inapiga nyungu hatari.