Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

Bilashaka itakua historia ya buza
 
Kwa mbinde sana unakumbuka march 8, vp mapinduzi cup sema iliotea kuchomoa ile majuzi baada ya babu kupigizwa kichwa kwenye mchanga na fundi T.K
Zile 4-1 mbona unaziruka au kichwa chako kimejaa kumbukumbu za utopolo wakishinda
 
Jana Kapombe kaonyesha mpira wake halisi ambao tumeuzoea wa kushambulia huku akipiga vyenga kwenye mstari
 
Mshabiki wa Simba kubishana mambo ya soka na Yanga ni matumizi mabaya ya muda......Simba tunatakiwa kubishana mpira na timu kama As vita, el mereikh, Mamelod na wengine tunaoshiriki nao LIGI ya mabingwa......Yanga waacheni wabishane Dodoma Jiji, Mbeya City na Kagera Sugar.....ndio saa hizi.....Simba kama Simba tunawaza mambo makubwa kama vile kuchukua Club bingwa au Club bingwa dunia.....
 
Historia inasema au Mwakalebela ndio anavyowaambia?

Weka hapa kundi lenu mlilopita kwenda robo.
 
mafanikio gani mkuu, kuifunga al ahly ndo mafanikio

timu zinaifunga baselona,man city, man utd na hazijitapi mkuu.

labda mafanikio ya kuchukua simba super cup.
Pole utopolo!! Inakuuma lakini jipe moyo itapona taratibu huku ukijiandaa kisaikolojia kuukubali Moto wa Simba!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…