Zaidi ya kilazaaaShafii dauda ni moja ya wachambuzi vilaza duniani!!
washakua vibonde tena...tutazidi kutatua marinda ya washabiki wa gongowazi na timu mnazozishangiliaHalafu kwa timu gani kali ya kutuletea dharau? Kile kibonde 3-0 sio ya kujisifu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona mnaumia...uhai waupatie wapi wakati wamekutana na timu inayojua mpiraKweli kabisa waeza sema bora Nkana alikuwa na uhai na sio hawa Waarabu.
mmepigwa jumla jumla!Hahahaaaa. Jamaani. [emoji85][emoji85][emoji85]
Yajayo yanafurahishaShafii dauda ni moja ya wachambuzi vilaza duniani!!
Ndio hapo sasa. ππππHalafu sisi mbona hatukuwa na tatizo nao? Sisi tuliamua kushabikia Waarabu period.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aah. Wapiii. Vibonde tu wale.Naona mnaumia...uhai waupatie wapi wakati wamekutana na timu inayojua mpira
Leo ana machungu ya kwenda leba[emoji23][emoji23]Litakua Juha lile jamaa
Hahaaa. Ndio nashangaa ujue. Sababu yawapasa washangilie saa hizi na si kutoka povu.
Itakuwa hawajui maana ya Utani.
Acha tu aiseeee.
Mlianza mbabane...mkaja nkana..mkahamia kwa hawa...sahv mmebadilishia gia angani...sisi ndo simba tunatatua marinda yote ya mashabiki wa gongowazi na timu mnazoshangilia