Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Halafu kwa timu gani kali ya kutuletea dharau? Kile kibonde 3-0 sio ya kujisifu [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
washakua vibonde tena...tutazidi kutatua marinda ya washabiki wa gongowazi na timu mnazozishangilia
 
Hahaaa. Ndio nashangaa ujue. Sababu yawapasa washangilie saa hizi na si kutoka povu.

Itakuwa hawajui maana ya Utani.

Hahaha, baada ya kushinda ndo mnajipendekeza, sisi hatuna shida na uzalendo wenu wa baada ya mechi.
 
Mlianza mbabane...mkaja nkana..mkahamia kwa hawa...sahv mmebadilishia gia angani...sisi ndo simba tunatatua marinda yote ya mashabiki wa gongowazi na timu mnazoshangilia

Hivi nyie kuna siku mliwahi kuishabikia Yanga? Acheni unafiki mikia, hii ndio desturi yetu.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom