Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Hahaha, baada ya kushinda ndo mnajipendekeza, sisi hatuna shida na uzalendo wenu wa baada ya mechi.
Hahahaaa. Ndio kawaida hii si mmeshinda Mtani au mlitaka tusemeje?

Mpira sio vita ujue.
 
Hivi nyie kuna siku mliwahi kuishabikia Yanga? Acheni unafiki mikia, hii ndio desturi yetu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio hapo sasa. Hii ni desturi yetu watanzania hasa wale wapenzi wa Simba na Yanga.

Watuwache. Sababu wangekuwa wao wangeshangilia pia.
 
Hahahaaa. Ndio kawaida hii si mmeshinda Mtani au mlitaka tusemeje?

Mpira sio vita ujue.

Mimi pia sijaweka vita, nimewaambia tu mnajipendekeza kwa mshindi, hapo kuna vita kweli!

Maana mlikuwa waarabu, mpira umeisha mnaomba urafiki.
 
Mimi pia sijaweka vita, nimewaambia tu mnajipendekeza kwa mshindi, hapo kuna vita kweli!

Maana mlikuwa waarabu, mpira umeisha mnaomba urafiki.
Hahahaa. Haya bana. Pole kama umewaza hivyo. Ila mie sikuwaza hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…