yope
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 364
- 689
This is Simba, leo amekosekana baraka mpenja anogeshe matangazo[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuanzia leo ana miaka 25 .....mmoja tunautoa
Hahahaaa. Ndio kawaida hii si mmeshinda Mtani au mlitaka tusemeje?Hahaha, baada ya kushinda ndo mnajipendekeza, sisi hatuna shida na uzalendo wenu wa baada ya mechi.
Duh! Yaani timu iliyofuzu kuingia makundi ya klabu bingwa Africa unasema ni kibonde.Mmepata vibonde mshindwe wenyewe
Umeona alivyocheza lakini? Angekuwa na uhai upinzani ungeonekana bana.Duh! Yaani timu iliyofuzu kuingia makundi ya klabu bingwa Africa unasema ni kibonde.
👏👏👏👏👏Nasema Ivyi Ndo Tumeanzaaa!
Lazima kieleweke.
Uhai anao ila tatizo amecheza na timu kubwa (Simba)Umeona alivyocheza lakini? Angekuwa na uhai upinzani ungeonekana bana.
Ndio hapo sasa. Hii ni desturi yetu watanzania hasa wale wapenzi wa Simba na Yanga.Hivi nyie kuna siku mliwahi kuishabikia Yanga? Acheni unafiki mikia, hii ndio desturi yetu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dharau wapi huo ndio ukweli chura kwa mwarabu hatoboi, ninyi lini mmeingia 16 bora km hawa sio wanaume...Acha dharau mech Bado 5 ,,,,,utakutana na wanaume watakuonesha kaz
Na test mitambo
Kwani wamefanyiwa nn na simba,mbona uwanjani kila kitu kilikuwa poaKocha wa waarabu anatoa sumu et waandishi wa kibongo ni wahuni na Simba et haishimu wapinzani wao zaidi ya Ahly Cairo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe eeee.Uhai anao ila tatizo amecheza na timu kubwa (Simba)
Uhai anao ila tatizo amecheza na timu kubwa (Simba/ Mnyama)Umeona alivyocheza lakini? Angekuwa na uhai upinzani ungeonekana bana.
Hahahaaa. Ndio kawaida hii si mmeshinda Mtani au mlitaka tusemeje?
Mpira sio vita ujue.
Sapta Sapta Sesten Zakazaka OKW BOBAN SUNZU Ghazwat BAK wengineo wengi najua mlikimbia haya njooni sasa mserebuke. 💃💃💃💃
Hahahaa. Haya bana. Pole kama umewaza hivyo. Ila mie sikuwaza hivyoMimi pia sijaweka vita, nimewaambia tu mnajipendekeza kwa mshindi, hapo kuna vita kweli!
Maana mlikuwa waarabu, mpira umeisha mnaomba urafiki.
Nifah za mwaka mpyaHivi nyie kuna siku mliwahi kuishabikia Yanga? Acheni unafiki mikia, hii ndio desturi yetu.
Sent from my iPhone using JamiiForums