Ya kweli hayoo? πππMie huwa sikimbii najua kuna kushinda na kushindwa. πππ
Sawaa jifarijini....ni kichapo tu kwa kwenda mbeleAah. Wapiii. Vibonde tu wale.
Upizani utoke wapi wakati unacheza barcelona, ninyi vyura level yenu ni shelisheliUmeona alivyocheza lakini? Angekuwa na uhai upinzani ungeonekana bana.
Tusubiri tuzidi kuonaSawaa jifarijini....ni kichapo tu kwa kwenda mbele
Ya kweli hayoo? πππ
Hahaaah sawaaa kwani mnateseka...soma iyooooooooHivi nyie kuna siku mliwahi kuishabikia Yanga? Acheni unafiki mikia, hii ndio desturi yetu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa sababu mmeshinda tutasikia kila tambo zenu. ππUpizani utoke wapi wakati unacheza barcelona, ninyi vyura level yenu ni shelisheli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli kabisa kamwe siwezi shabikia yanga uzalendo huo sinaHivi nyie kuna siku mliwahi kuishabikia Yanga? Acheni unafiki mikia, hii ndio desturi yetu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaah kwani unateseka....soma iyooooooTusubiri tuzidi kuona
Nimeona aiseee. Pole sana.Si unaniona ninavyoyavumilia machungu ya Arsenal. πππ
Mkuu! Kwa Simba hii lazima wanakubali mziki japo wanajitutumua kubisha.Dharau wapi huo ndio ukweli chura kwa mwarabu hatoboi, ninyi lini mmeingia 16 bora km hawa sio wanaume...
Jifanye kama unajikuna mkuu hii ndio simba...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa. Haya bana. Pole kama umewaza hivyo. Ila mie sikuwaza hivyo
Hapana sijawahi teseka. ππHahaaah kwani unateseka....soma iyoooooo
Sa ivi zamu yenu kuhama ...sijui mtahamia mpaka wapiYanga ikishiriki kimataifa misimu mitatu iliyopita mlikuwa mnahama hivyo hivyo.