Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Nilikuwa nimeshaweka 3 points kibindoni leo na West Ham wakaniboa hata sikuangalia mechi yote. πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™Š

Nimeona aiseee. Pole sana.

Ila najua Simba wamekufariji.
 
Nilikuwa nimeshaweka 3 points kibindoni leo na West Ham wakaniboa hata sikuangalia mechi yote. πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™Š
Pole vumiliaga tu.

🎡🎡🎡🎡Vinyani vinyani vinyani 🎡🎡🎡🎡naimba tu. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Reactions: BAK
Ndiyo kupenda huko kwenye shida na raha si kubadili timu kama unabadili picchu tatu kwa siku 😜😜😜

Pole vumiliaga tu.

🎡🎡🎡🎡Vinyani vinyani vinyani 🎡🎡🎡🎡naimba tu. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…