Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifah za mwaka mpya
😂😂😂 haya banaHaya ni maneno ya kishabiki, sema mwenzio hajazoea labda.
Msikasirike, hatuwezi kuwanyima burdani la kimataifa ndugu zetu nyie.
Nimeona aiseee. Pole sana.
Ila najua Simba wamekufariji.
Engineer soma huko ngapiiiiii.....somaaaa iyoo mbona hutaki kusomaHapana sijawahi teseka. 😃😃
Mkuu Emery ni mjinga ujue,,,,,,,,[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Si unaniona ninavyoyavumilia machungu ya Arsenal. [emoji87][emoji87][emoji87]
Pole vumiliaga tu.Nilikuwa nimeshaweka 3 points kibindoni leo na West Ham wakaniboa hata sikuangalia mechi yote. 🙊🙊🙊
Mkuu Emery ni mjinga ujue,,,,,,,,[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Na test mitambo
Na waende kabisa noana kifurushi chao cha Uzalendo kime expire!Msisahau kuondoka kwenda kwenu uarabuni mechi ikiisha[emoji28][emoji28]
3 - 0 💃💃💃💃💃Engineer soma huko ngapiiiiii.....somaaaa iyoo mbona hutaki kusoma
Hii ndio simba hadi kocha muarabu povu linamtoka kwa magazeti sasa sijui alikuja kucheza na magazetiKwa sababu mmeshinda tutasikia kila tambi zenu. [emoji2][emoji2]
Kamwe siwezi shabikia Simba ,,,,,moyo huo wakinafik sina
Nimemsikiliza mkalimani wake ila hata sijamuelewa.Hii ndio simba hadi kocha muarabu povu linamtoka kwa magazeti sasa sijui alikuja kucheza na magazeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole vumiliaga tu.
🎵🎵🎵🎵Vinyani vinyani vinyani 🎵🎵🎵🎵naimba tu. 💃💃💃