Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Watoto wangu eeh! Mimi mama yenu sina nguvu tena, za kumuua simba, simba ni mkali
Aliua mbabane
Aliua Nkana
Ameua warabu

Sasa wengine naomba mkimbie tu[emoji125]
 
Ndiyo kupenda huko kwenye shida na raha si kubadili timu kama unabadili picchu tatu kwa siku 😜😜😜
Hahahaa. Na kweli.

Haya. Uwe na siku njema. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Reactions: BAK
Kama mwarabu anapigika namna hii, kipigo cha mbwa koko, sipati picha tutawafanya nini vyura fc tukikutana nao, tutawafedhehesha kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…