Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
๐๐๐๐Hahaaaaaah tabu ipo palepale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Hahaaaaaah tabu ipo palepale
Kauwa nini ?????[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mnyama kauwa bila huruma...raha sana
Hahah hama Yanga wwKwakweli jipongezeni maana hapa wapambe tumekuwa wapole ingekuwa viceversa mngekoma leo.[emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nafutaje sasa wakati nilikuwa Mwarabu kwa muda.
Tulia dawa iingie vizuri....soma iyooooo[/QUOTE. Yajayo hayafurahishi
Na test mitambo
Haha haha hahaaaa, ..kesho utakuwa Azam tena!!Nafutaje sasa wakati nilikuwa Mwarabu kwa muda.
Yah. Mwendo ni huu huu tu.
Hahaha aksanteHahahaaaa. Linabakia ndio.
Hongera zenu. [emoji122]
Pole Mkuu mie wameniboa sana ile mechi ilikuwa si ya kupoteza.
Lakini uwe unakumbuka kuedit komenti zako.Yah. Mwendo ni huu huu tu.
Baada ya kichapo kutoka kwa Liver nilijua tunakuja kama mbogo aliyejeruhiwa lkn kumbe business as useal. wamenikera mno leo kusema kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tushapoa waarabu wa watu. ๐๐
Kifupi Kocha kashndwa kuweka mikakat ya kutufikisha sehemu,,,,,,,iBaada ya kichapo kutoka kwa Liver nilijua tunakuja kama mbogo aliyejeruhiwa lkn kumbe business as useal. wamenikera mno leo kusema kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo utakuwa ni Woga na ukishaamua kushangilia kitu hutakiwi kuogopa na ndio sababu huwa naziacha tu. ๐๐
Tunaweza muachia United nafas yetu Kama tutaendelea kusuasua hivWapi Mkuu tangu December tumekuwa watu wa kusua sua tu.
Haya tukutane kesho....Huo utakuwa ni Woga na ukishaamua kushangilia kitu hutakiwi kuogopa na ndio sababu huwa naziacha tu. [emoji2][emoji2]
Kabisa Mkuu. Najua Azam tunachukua mara ya tatu. Teh teh. ๐๐
Kweli kabisa, hakuna hamasa kabisa morali hukuna. wanacheza kama wanatimiza wajibu tu.wenzetu Man u sasa hii wanacheza kwa moyo sana.Kifupi Kocha kashndwa kuweka mikakat ya kutufikisha sehemu,,,,,,,i
Na test mitambo