Kunawakati kushabikia Yanga yajipasa ujitoe ufahamu, maaana kwa akili za kawaida huwez kwakweliMikia wamewafunga wahindi wanajisifu hao ngoja waarabu origino waje halafu tuone
Kapaniki huyo! Kwani hizo kalamu za waandishi ndio zilicheza uwanjani?
Yanga walikuwepo kuwapokea wageni wao. Nani angewazomea?Sema mliokuwa Dar kwa Sasa wanatuangusha Hawa tulitakiwa tuanze kuwazomea pindi wanashuka tuu uwanja wa ndege na kuonyesha tunawachinja na wakikutana na jezi za Simba tuu...Kama wao wanavyotufanyiaga tukienda kwao ila sisi tunawapokea Kama Bibi harusi vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli, ni genge la wahuni tuKuna Kijigenge flani hapa TZ kinajiita eti Wakimataifa 😀😀
Sasa mkuu bagamoyo huyu amekuja kucheza mpira ama amekuja kusikiliza magazeti yanasema nini..!Hah Hah magazeti pendwa ya Tanzania khatari sana. Wahariri wa magazeti ya Tanzania kurasa za michezo waendelee hivyo hivyo.
12 Jan 2019
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wameianza vyema hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya leo kuichapa JS Saoura ya Algeria mabao 3-0, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mara baada ya mchezo, Kocha wa JS Saoura Nabil Neghiz amevilaumu vyombo vya habari vya Tanzania akidai kuwa vimekuwa vikitoa taswira kuwa timu yenye uwezo kwenye kundi hilo ni Al Ahly pekee.
Kocha huyo pia amesema vyombo hivyo vimepotosha kauli aliyoitoa wakati jana na kuandika kinyume na aliyoyasema jambo ambalo anadai kuwa limechangia kuwapunguzia nguvu. Akizungumzia mchezo kocha huyo amesema Simba ni timu ngumu wakati timu yake bado ni changa hivyo iliingia kwenye mchezo huo kwa kuiheshimu huku akijipa moyo kuwa kupoteza mchezo wa leo hakutawakatisha tamaa kwakuwa bado kuna mechi nyingi mbele.
Source : Azam TV
Mngemwambia tu kuwa hali ya Magazeti sio nzuri, hata juzi tu CAG alizushiwa, Wema Sepetu ndio hata ameamua tu kunyamaza awaache wafanye wanavyotaka.Hah Hah magazeti pendwa ya Tanzania khatari sana. Wahariri wa magazeti ya Tanzania kurasa za michezo waendelee hivyo hivyo.
12 Jan 2019
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wameianza vyema hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya leo kuichapa JS Saoura ya Algeria mabao 3-0, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mara baada ya mchezo, Kocha wa JS Saoura Nabil Neghiz amevilaumu vyombo vya habari vya Tanzania akidai kuwa vimekuwa vikitoa taswira kuwa timu yenye uwezo kwenye kundi hilo ni Al Ahly pekee.
Kocha huyo pia amesema vyombo hivyo vimepotosha kauli aliyoitoa wakati jana na kuandika kinyume na aliyoyasema jambo ambalo anadai kuwa limechangia kuwapunguzia nguvu. Akizungumzia mchezo kocha huyo amesema Simba ni timu ngumu wakati timu yake bado ni changa hivyo iliingia kwenye mchezo huo kwa kuiheshimu huku akijipa moyo kuwa kupoteza mchezo wa leo hakutawakatisha tamaa kwakuwa bado kuna mechi nyingi mbele.
Source : Azam TV
Upooo.....Tupo Dada. Leo Mikia kazi wanayo.
mkuu hamna haja ya kuwazomea au kuwatisha, hapa tz waarabu ushindi wao kwa simba ni droo, uwa wanakufa. Hizo mbinu za kuzomea waachie vyura.Sema mliokuwa Dar kwa Sasa wanatuangusha Hawa tulitakiwa tuanze kuwazomea pindi wanashuka tuu uwanja wa ndege na kuonyesha tunawachinja na wakikutana na jezi za Simba tuu...Kama wao wanavyotufanyiaga tukienda kwao ila sisi tunawapokea Kama Bibi harusi vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tumeshamsukutua Mchunga Ngamia 3 wacha Vyura Waumie kuliko Hao tuliowafunga. [emoji23][emoji23][emoji23]
By the way! VyuraFC ni Wakimataifa 😀😀
CC: Hajar
nahisi wewe ni mgeni na simba ww ni mgeni na simba kimataifa. hapa home simba mbaya, hao unaowategemea utawakimbia.Jss tim nayo!! Subirini Al ahly or Vita Club mtapigwa nyingi sanaa
ndo raha ya soka, unachukia acha, barca hawezi kuishangilia madridi kamwe, vivo hivyo simba na yanga, ulitaka tukamtanie nani, azam? au, mbona unataka kupasuka.
nahisi wewe ni mgeni na simba ww ni mgeni na simba kimataifa. hapa home simba mbaya, hao unaowategemea utawakimbia.
SIMBA INAWABADILISHA VYURA URAIA HADI RAHA leo waarabu kesho wabantu.nasubiri wawashangilie wachina,wajapan,waamerica na wazungu kwenye CLUB WORLD CUP