Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Kapaniki huyo! Kwani hizo kalamu za waandishi ndio zilicheza uwanjani?

Hah Hah magazeti pendwa ya Tanzania khatari sana. Wahariri wa magazeti ya Tanzania kurasa za michezo waendelee hivyo hivyo.

12 Jan 2019
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wameianza vyema hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya leo kuichapa JS Saoura ya Algeria mabao 3-0, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mara baada ya mchezo, Kocha wa JS Saoura Nabil Neghiz amevilaumu vyombo vya habari vya Tanzania akidai kuwa vimekuwa vikitoa taswira kuwa timu yenye uwezo kwenye kundi hilo ni Al Ahly pekee.

Kocha huyo pia amesema vyombo hivyo vimepotosha kauli aliyoitoa wakati jana na kuandika kinyume na aliyoyasema jambo ambalo anadai kuwa limechangia kuwapunguzia nguvu. Akizungumzia mchezo kocha huyo amesema Simba ni timu ngumu wakati timu yake bado ni changa hivyo iliingia kwenye mchezo huo kwa kuiheshimu huku akijipa moyo kuwa kupoteza mchezo wa leo hakutawakatisha tamaa kwakuwa bado kuna mechi nyingi mbele.

Source : Azam TV
 
Sema mliokuwa Dar kwa Sasa wanatuangusha Hawa tulitakiwa tuanze kuwazomea pindi wanashuka tuu uwanja wa ndege na kuonyesha tunawachinja na wakikutana na jezi za Simba tuu...Kama wao wanavyotufanyiaga tukienda kwao ila sisi tunawapokea Kama Bibi harusi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga walikuwepo kuwapokea wageni wao. Nani angewazomea?
 
Sasa mkuu bagamoyo huyu amekuja kucheza mpira ama amekuja kusikiliza magazeti yanasema nini..!

Mbona kama haihusiani kabisa[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hah Hah magazeti pendwa ya Tanzania khatari sana. Wahariri wa magazeti ya Tanzania kurasa za michezo waendelee hivyo hivyo.

12 Jan 2019
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wameianza vyema hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya leo kuichapa JS Saoura ya Algeria mabao 3-0, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mara baada ya mchezo, Kocha wa JS Saoura Nabil Neghiz amevilaumu vyombo vya habari vya Tanzania akidai kuwa vimekuwa vikitoa taswira kuwa timu yenye uwezo kwenye kundi hilo ni Al Ahly pekee.

Kocha huyo pia amesema vyombo hivyo vimepotosha kauli aliyoitoa wakati jana na kuandika kinyume na aliyoyasema jambo ambalo anadai kuwa limechangia kuwapunguzia nguvu. Akizungumzia mchezo kocha huyo amesema Simba ni timu ngumu wakati timu yake bado ni changa hivyo iliingia kwenye mchezo huo kwa kuiheshimu huku akijipa moyo kuwa kupoteza mchezo wa leo hakutawakatisha tamaa kwakuwa bado kuna mechi nyingi mbele.

Source : Azam TV

Mngemwambia tu kuwa hali ya Magazeti sio nzuri, hata juzi tu CAG alizushiwa, Wema Sepetu ndio hata ameamua tu kunyamaza awaache wafanye wanavyotaka.
 
Sema mliokuwa Dar kwa Sasa wanatuangusha Hawa tulitakiwa tuanze kuwazomea pindi wanashuka tuu uwanja wa ndege na kuonyesha tunawachinja na wakikutana na jezi za Simba tuu...Kama wao wanavyotufanyiaga tukienda kwao ila sisi tunawapokea Kama Bibi harusi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hamna haja ya kuwazomea au kuwatisha, hapa tz waarabu ushindi wao kwa simba ni droo, uwa wanakufa. Hizo mbinu za kuzomea waachie vyura.
 
Sisi tumeshamsukutua Mchunga Ngamia 3 wacha Vyura Waumie kuliko Hao tuliowafunga. [emoji23][emoji23][emoji23]

By the way! VyuraFC ni Wakimataifa 😀😀

CC: Hajar

Mmecheza na tim ambayo sio wazoefu wa haya mashindano, subirini Al ahly or Vita club mtachapwa nyingi sanaa....

Vivaa Wydad Casablanca
 
nahisi wewe ni mgeni na simba ww ni mgeni na simba kimataifa. hapa home simba mbaya, hao unaowategemea utawakimbia.

Simba nnawajuwa vizuri sana, lakini wasahau ushindi kwa al ahly tim kubwa, au hata vita club. Mark my words mkuu....hii comment siifuti!
 
Back
Top Bottom